KWA WAFUGAJI WA LEO NA KESHO
Zaidi ya Chakula cha Kuku. Ni Maendeleo.
SAB FEED imejikita katika kutengeneza na kusambaza chakula cha kuku chenye ubora, kwa ajili ya wafugaji wanaolenga matokeo bora na maendeleo ya muda mrefu.
Kuhusu Sisi
Chakula cha kuku chenye ubora, kilichotengenezwa kwa ajili ya mafanikio ya wafugaji.
Jifunze Zaidi
SAB FEED imejikita katika kutengeneza na kusambaza chakula cha kuku chenye ubora, kwa ajili ya wafugaji wanaolenga matokeo bora na maendeleo ya muda mrefu.
Kuhusu Sisi

Chakula kwa kuku wa nyama na mayai. Kutoka kuandaa lishe hadi kuandaa mifuko, tunazingatia mahitaji ya mfugaji.
Ubora WetuTunawaunga mkono wafugaji kwa kutoa chakula bora, ushauri wa kitaalamu na huduma ya kuaminika, ili kuku wako wapate lishe sahihi katika kila hatua ya ufugaji.
Mwongozo wa Mfugaji

Tunahudumia wafugaji katika Dar es Salaam kwa upatikanaji wa chakula na delivery bure.
Wasiliana NasiKutoka broiler hadi layers, tunatoa chakula kinachofaa kwa kila hatua ya ufugaji.
Tazama Bidhaa Zetu