
Broiler Starter Crumble
Mwanzo mzuri kwa vifaranga vya kuku wa nyama.
50 KGMaelezo
Chakula cha kuanzia. Wasiliana na mshauri wetu kuhusu ratiba ya ulishaji inayofaa kundi lako.
Gundua chakula cha kuku wa nyama na mayai, na concentrates zetu.
Gundua Bidhaa ZetuLISHE KWA KILA HATUA YA UKUAJI

Mwanzo mzuri kwa vifaranga vya kuku wa nyama.
50 KGChakula cha kuanzia. Wasiliana na mshauri wetu kuhusu ratiba ya ulishaji inayofaa kundi lako.

Lishe kwa hatua ya ukuaji wa kuku wa nyama.
50 KGKwa hatua inayofuata baada ya starter. Mshauri wetu atakusaidia kupanga mabadiliko ya chakula.

Chakula kwa hatua ya mwisho kabla ya soko.
50 KGKwa kuku wa nyama wanaokaribia kuuzwa. Uliza kuhusu kiasi na ratiba kwa kundi lako.
KWA VIFARANGA, UKUAJI NA KUTAGA

Chakula cha unga kwa vifaranga wa kuku wa mayai.
50 KGLishe ya kuanzia kwa vifaranga wa kuku wa mayai, kabla ya kuhamia Grower Mash.

Kwa kuku wa mayai wanaokua kabla ya kutaga.
50 KGKwa kuku wa mayai katika hatua ya ukuaji. Uliza mshauri wetu muda unaofaa wa kubadilisha chakula.

Lishe ya kila siku kwa kuku wanaotaga.
50 KGChakula kwa kuku wa mayai wanaotaga. Pata ushauri unaozingatia umri na hali ya kundi lako.
KWA KUCHANGANYA CHAKULA

Kwa mfugaji anayechanganya chakula cha kuku wa nyama.
25 KGHii si chakula cha kulisha moja kwa moja. Fuata uwiano ulio kwenye mfuko; omba maelekezo kabla ya kuchanganya.

Kwa mfugaji anayechanganya chakula cha kuku wa mayai.
25 KGHii si chakula cha kulisha moja kwa moja. Fuata uwiano ulio kwenye mfuko; mshauri wetu anaweza kukuelekeza.
Jaribu jina lingine au uondoe vichujio.
Chagua aina ya kuku na hatua yao. Tutakuonyesha chakula cha kuanzia nacho.
Unahitaji ushauri? Piga simuKwa ratiba na kiasi cha ulishaji, mshauri wetu yupo kukusaidia.
Tazama bidhaa zote au piga simu kwa ushauri wa kuchagua chakula.
Bidhaa zoteTaja bidhaa na mifuko unayohitaji. Timu yetu itakutajia bei na upatikanaji.