Kutoka kwetu, hadi kwako.
Tunasafirisha chakula Dar es Salaam na mikoa ya jirani. Unapowasiliana nasi, taja eneo lako na idadi ya mifuko ili tukutajie gharama na muda. Ungependa kuchukua mwenyewe? Tutakuandalia oda yako Moshi Bar.
Delivery bure Dar es Salaam; muda unathibitishwa na timu yetu.
